Jumamosi, 20 Julai 2019

Biashara ya Forex Intro

Kama ni mara yako ya kwanza kusikia neon Forex basis huu ni wakati Muhafaka kupata japo Muhtasari kidogo kuhusu fursa hii.

Forex ni Biashara ya kubadilisha fedha za kigeni na kwa hapa Biashara hii hufanyika zaidi mtandaoni.

Kwa kpindi hiking Biashara hii inakua kwa kasi sana kutokana na maendeleo ya Kitekinolojia.

Kwenye Biashara hii ya Forex faida hutokana na mabadiliko ya Thamani ya fedha mbili zinazolinganishwa katika kila sekunde. Mfn USD/GBP kupanda au kushuka kwa thamani ya dollar juu ya pound ndio kunatengeneza faida.

Ili kufanya biashasha hii ni lazima uwe na elimu ya kujitosha na uwe umefanya mazoezi ya mara kwa mara kwa muda wa angalau miezi mitatu.

Kwenye Biashara hii unaweza ukaanza na Dollar 10 sawa na shillingi 23000 na ukavuna zaidi ya dollar 1000 sawa na shillingi 2,300,000.

Fuatilia post zetu tukioa hints zitakazo kusaidia kufanya Biashara hii.