Jumamosi, 25 Julai 2020

Biashara ya Chips










JINSI YA KUANZISHA BIASHARA YA CHIPSI KWA TSH LAKI NNE NA THELASINI NA TANO 435,000. TU.
Biashara ya chipsi imezidi kushamiri na kuwa moja Kati ya chakula pendwa Sana hivyo kupelekea kuwa ajira na sehemu ya kipato kwa watu.
Leo nataka kukuonyesha namna unaweza kuanza biashara yako kwa mtaji mdogo tu wa laki nne na ukaiona faida.
GHARAMA ZA KUDUMU.
Jiko la chips......................... 30,000.
Jiko la mishkaki...............25,000-45,000.
Kabati la vioo....................200,000.
Sahani kumi (10).......15,000.
meza ndogo ......50,000.
Vikorokoro vya kusaidia kazi ...30,000.
Ndoo unaweza kutumia za kwako si lazima ununue.
GHARAMA ZA KUENDESHA BIASHARA.
Kodi........5000 kila siku pengine 3000.
Mkaa.......7000.
Ndoo ya viazi............15,000.
Kuku wawili..........10,000.
mafuta 3 litre....@14000.
mayai Trey moja. 8000.
JUMLA KUU .......435,000.
KUMBUKA: BEI HIZI ZINABADILIKA KULINGANA NA SOKO.




Maoni 4 :

  1. Muongozo wa mauzo na faida zake kwamwezi siku au wiki

    JibuFuta
  2. Je kunachangamoto gani katika biashara

    JibuFuta
  3. Nataka kujua ili biashara yangu iwe ya pekee nifanyeje

    JibuFuta
  4. Nikujituma kila kitu kina

    wezekana

    JibuFuta